Mwanzo 36:6 BHN

6 Kisha, Esau akawachukua wake zake, watoto wake wa kiume na wa kike, watu wote wa nyumbani mwake, ng'ombe wake, wanyama wake wengine wote na mali yake yote ambayo alikuwa ameipata katika nchi ya Kanaani, akahamia mahali pengine, mbali na nduguye Yakobo.

Kusoma sura kamili Mwanzo 36

Mtazamo Mwanzo 36:6 katika mazingira