Mwanzo 37:32 BHN

32 Kisha wakampelekea baba yao ile kanzu, wakamwambia, “Tumeiokota kanzu hii. Hebu iangalie kama ni ya mwanao, au siyo.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 37

Mtazamo Mwanzo 37:32 katika mazingira