Mwanzo 37:33 BHN

33 Baba yao akaitambua hiyo kanzu, akasema, “Ndiyo hasa! Bila shaka mnyama wa porini amemshambulia na kumla. Hakika Yosefu ameraruliwa vipandevipande.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 37

Mtazamo Mwanzo 37:33 katika mazingira