Mwanzo 37:35 BHN

35 Watoto wake wa kiume na wa kike wakamjia ili kumfariji, lakini akakataa kufarijiwa, akisema, “Niacheni; nitaendelea kuomboleza kwa ajili ya mwanangu, mpaka nitakaposhuka kuzimu alipo.” Ndivyo baba yake alivyomlilia.

Kusoma sura kamili Mwanzo 37

Mtazamo Mwanzo 37:35 katika mazingira