Mwanzo 37:36 BHN

36 Wakati huo, kule Misri, wale Wamidiani walimwuza Yosefu kwa mtu aitwaye Potifa, mmoja wa maofisa wa Farao, ambaye alikuwa mkuu wa kikosi cha ulinzi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 37

Mtazamo Mwanzo 37:36 katika mazingira