Mwanzo 38:1 BHN

1 Wakati huo, Yuda alitengana na ndugu zake, akaenda kukaa na mtu mmoja Mwadulami, jina lake Hira.

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:1 katika mazingira