Mwanzo 37:7 BHN

7 Niliota kuwa sote tulikuwa shambani tukifunga miganda na ghafla mganda wangu ukainuka na kusimama wima. Miganda yenu ikakusanyika kuuzunguka na kuuinamia mganda wangu.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 37

Mtazamo Mwanzo 37:7 katika mazingira