Mwanzo 38:11 BHN

11 Ndipo Yuda akamwambia Tamari, mke wa mwanawe, “Rudi nyumbani kwa baba yako, ubaki mjane hadi mwanangu Shela atakapokua.” Yuda alihofu Shela naye asije akafa kama ndugu zake. Basi, Tamari akarudi nyumbani kwa baba yake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:11 katika mazingira