19 Basi, Tamari akarudi nyumbani akavua ile shela aliyojifunika, akavaa tena mavazi yake ya ujane.
Kusoma sura kamili Mwanzo 38
Mtazamo Mwanzo 38:19 katika mazingira