Mwanzo 38:20 BHN

20 Wakati Yuda alipomtuma yule rafiki yake, Mwadulami, ampelekee yule mwanamke mwanambuzi ili arudishiwe rehani aliyomwachia, Hira hakumpata.

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:20 katika mazingira