Mwanzo 38:22 BHN

22 Basi, huyo rafiki akarudi kwa Yuda, akamwambia, “Sikumpata! Tena wenyeji wa huko wameniambia kwamba hapajawa na mwanamke kahaba yeyote huko.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:22 katika mazingira