Mwanzo 38:23 BHN

23 Yuda akasema, “Acha avichukue vitu hivyo, la sivyo atatufanya tuchekwe. Wewe mwenyewe umeona kwamba nilimpelekea mwanambuzi, lakini wewe hukumpata.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:23 katika mazingira