Mwanzo 38:24 BHN

24 Baada ya miezi mitatu, Yuda akapata habari, “Tamari, mke wa mwanao amekuwa kahaba, tena amepata mimba kwa kufanya ukahaba.” Basi, Yuda akaamuru, “Mtoeni nje achomwe moto!”

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:24 katika mazingira