Mwanzo 38:25 BHN

25 Walipokuwa wakimtoa nje, Tamari akatuma ujumbe kwa baba mkwe wake, akisema, “Mwenye vitu hivi ndiye aliyenipa mimba. Kwa hiyo, nakuomba umtambue mwenye pete hii na kamba yake, na fimbo hii.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:25 katika mazingira