Mwanzo 38:26 BHN

26 Yuda alivitambua vitu hivyo, akasema, “Tamari ni mwadilifu kuliko mimi. Ni kweli, maana sikumwoza kwa mwanangu Shela.” Tokea siku hiyo Yuda hakulala tena na Tamari.

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:26 katika mazingira