28 Basi, alipopata uchungu wa kuzaa pacha mmojawapo alitoa mkono nje, naye mkunga akaufunga kwa uzi mwekundu, akisema, “Huyu ndiye aliyezaliwa kwanza.”
Kusoma sura kamili Mwanzo 38
Mtazamo Mwanzo 38:28 katika mazingira