Mwanzo 38:29 BHN

29 Lakini huyo mtoto alipourudisha mkono wake ndani, ndugu yake akazaliwa wa kwanza. Mkunga akasema, “Mbona wewe umepita kwa nguvu?” Kwa hiyo akaitwa Peresi.

Kusoma sura kamili Mwanzo 38

Mtazamo Mwanzo 38:29 katika mazingira