Mwanzo 39:8 BHN

8 Lakini Yosefu akakataa na kumwambia huyo bwana wake, “Kamwe! Bwana wangu amenipa mamlaka juu ya kila kitu hapa nyumbani na, kwa vile niko, hajishughulishi na kitu chochote tena.

Kusoma sura kamili Mwanzo 39

Mtazamo Mwanzo 39:8 katika mazingira