Mwanzo 39:9 BHN

9 Hapa nyumbani yeye hana madaraka kuliko mimi. Yeye hakunikataza kushika chochote isipokuwa wewe tu kwa kuwa wewe ni mke wake. Nitawezaje basi kufanya uovu mbaya kama huo, na kumkosea Mungu.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 39

Mtazamo Mwanzo 39:9 katika mazingira