Mwanzo 4:14 BHN

14 Leo umenifukuza kutoka ardhi yenye rutuba na mbali nawe. Basi, nitakuwa mtu wa kutangatanga, asiye na makao maalumu duniani, na yeyote atakayeniona ataniua.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 4

Mtazamo Mwanzo 4:14 katika mazingira