Mwanzo 4:15 BHN

15 Lakini Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Sivyo! Atakayekuua wewe Kaini atalipizwa mara saba.” Basi, Mwenyezi-Mungu akamtia Kaini alama ya tahadhari, ili yeyote atakayemwona asimuue.

Kusoma sura kamili Mwanzo 4

Mtazamo Mwanzo 4:15 katika mazingira