Mwanzo 4:17 BHN

17 Kaini akalala na mkewe, naye akapata mimba, akamzaa Henoki. Kaini akajenga mji akauita kwa jina la Henoki mwanawe.

Kusoma sura kamili Mwanzo 4

Mtazamo Mwanzo 4:17 katika mazingira