Mwanzo 4:18 BHN

18 Henoki akamzaa Iradi, naye Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, naye Methushaeli akamzaa Lameki.

Kusoma sura kamili Mwanzo 4

Mtazamo Mwanzo 4:18 katika mazingira