Mwanzo 40:15 BHN

15 Maana mimi nilitoroshwa kutoka nchi ya Waebrania, na hapa Misri sijafanya chochote kinachostahili nitiwe gerezani.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 40

Mtazamo Mwanzo 40:15 katika mazingira