Mwanzo 40:16 BHN

16 Yule mwoka mikate mkuu alipoona kwamba tafsiri ile ni nzuri, akamwambia Yosefu, “Hata mimi niliota ndoto! Katika ndoto yangu nilikuwa nimechukua kichwani nyungo tatu za mikate.

Kusoma sura kamili Mwanzo 40

Mtazamo Mwanzo 40:16 katika mazingira