Mwanzo 40:19 BHN

19 Baada ya siku tatu Farao atakunyanyua kutoka gerezani, atakiinua kichwa chako akutundike mtini, nao ndege wataula mwili wako.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 40

Mtazamo Mwanzo 40:19 katika mazingira