Mwanzo 40:20 BHN

20 Mnamo siku ya tatu, ambayo ilikuwa siku ya kuadhimisha kuzaliwa kwake, Farao aliwaandalia karamu watumishi wake wote. Akawatoa gerezani mtunza vinywaji wake mkuu na mwoka mikate mkuu, akawaweka mbele ya maofisa wake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 40

Mtazamo Mwanzo 40:20 katika mazingira