Mwanzo 41:13 BHN

13 Alivyotafsiri ndivyo ilivyotokea: Mimi nikarudishwa kazini kwangu, na yule mwoka mikate mkuu akatundikwa mtini.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:13 katika mazingira