14 Basi, Farao akaamuru Yosefu aitwe; naye akatolewa gerezani haraka. Baada ya kunyoa na kubadili nguo zake, Yosefu akaja mbele ya Farao.
Kusoma sura kamili Mwanzo 41
Mtazamo Mwanzo 41:14 katika mazingira