Mwanzo 41:15 BHN

15 Farao akamwambia Yosefu, “Mimi nimeota ndoto, lakini hakuna mtu aliyeweza kunitafsiria. Nimesikia sifa zako kwamba wewe ukiambiwa ndoto unaweza kuitafsiri.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:15 katika mazingira