Mwanzo 41:21 BHN

21 Lakini hata baada ya kuwala wale wanono, mtu yeyote asingeweza kutambua kwamba wamewala wenzao, kwani bado walikuwa wamekondeana kama mwanzo. Hapo nikaamka usingizini.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:21 katika mazingira