22 Kisha nikaota ndoto nyingine: Niliona masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka yakichipua katika bua moja.
Kusoma sura kamili Mwanzo 41
Mtazamo Mwanzo 41:22 katika mazingira