42 Ndipo, Farao akaivua pete yake ya mhuri kidoleni mwake na kumvisha Yosefu, akamvalisha na mavazi ya kitani safi na mkufu wa dhahabu shingoni.
Kusoma sura kamili Mwanzo 41
Mtazamo Mwanzo 41:42 katika mazingira