Mwanzo 41:43 BHN

43 Farao akampandisha katika gari lake la pili la farasi na walinzi wakatangulia mbele ya Yosefu wakipaza sauti na kusema, “Pigeni magoti!” Ndivyo Farao alivyompa Yosefu madaraka makubwa juu ya nchi yote ya Misri.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:43 katika mazingira