Mwanzo 41:46 BHN

46 Yosefu alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kumtumikia Farao, mfalme wa Misri. Alitoka nyumbani kwa Farao na kuitembelea nchi yote ya Misri.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:46 katika mazingira