Mwanzo 41:5 BHN

5 Alipolala tena, akaota mara ya pili. Aliona masuke saba makubwa na mazuri yanachipuka katika bua moja.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:5 katika mazingira