Mwanzo 41:6 BHN

6 Halafu, baada ya hayo, masuke mengine saba membamba na yaliyokaushwa na upepo mkavu wa jangwani yakatokeza.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:6 katika mazingira