Mwanzo 41:7 BHN

7 Hayo masuke saba membamba yakayameza yale masuke saba makubwa yaliyojaa nafaka. Basi, Farao alipoamka akagundua kuwa ilikuwa ndoto.

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:7 katika mazingira