54 Ikaanza miaka saba ya njaa kama alivyokuwa amesema Yosefu hapo awali. Nchi nyingine zote zikawa na njaa, lakini nchi yote ya Misri ilikuwa na chakula.
Kusoma sura kamili Mwanzo 41
Mtazamo Mwanzo 41:54 katika mazingira