Mwanzo 41:55 BHN

55 Wakati wananchi wa Misri walipoanza kuona njaa, walimlilia Farao awape chakula. Naye Farao akawaambia Wamisri wote, “Nendeni kwa Yosefu; atakalowaambia fanyeni.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 41

Mtazamo Mwanzo 41:55 katika mazingira