Mwanzo 44:16 BHN

16 Yuda akamjibu, “Tukuambie nini bwana? Tuseme nini kuonesha kwamba hatuna hatia? Mungu ameyafichua makosa yetu, sisi watumishi wako. Sasa sote tu watumwa wako, sisi pamoja na yule aliyepatikana na kikombe chako.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 44

Mtazamo Mwanzo 44:16 katika mazingira