Mwanzo 44:17 BHN

17 Lakini Yosefu akasema, “La! Mimi siwezi kufanya hivyo! Yule tu aliyepatikana na kikombe changu ndiye atakayekuwa mtumwa wangu. Nyinyi wengine wote rudini kwa amani kwa baba yenu.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 44

Mtazamo Mwanzo 44:17 katika mazingira