Mwanzo 45:1 BHN

1 Hapo Yosefu akashindwa kujizuia mbele ya wote walioandamana naye, akawaamuru watoke nje. Hivyo Yosefu alikuwa peke yake alipojitambulisha kwa ndugu zake.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:1 katika mazingira