Mwanzo 45:2 BHN

2 Lakini alilia kwa sauti kubwa hata Wamisri wakamsikia, hali kadhalika na watu wa jamaa ya Farao nao wakamsikia.

Kusoma sura kamili Mwanzo 45

Mtazamo Mwanzo 45:2 katika mazingira