Mwanzo 47:14 BHN

14 Yosefu akakusanya fedha yote ya nchi ya Misri na Kanaani kutokana na nafaka waliyonunua, akaipeleka fedha hiyo ikulu kwa Farao.

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:14 katika mazingira