Mwanzo 47:16 BHN

16 Yosefu akawaambia, “Kama fedha yenu imekwisha, basi nipeni mifugo yenu, nami nitawapa nafaka.”

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:16 katika mazingira