Mwanzo 47:17 BHN

17 Ndipo wakamletea Yosefu mifugo yao: Farasi, ng'ombe, kondoo, mbuzi na punda, naye akawapa chakula. Mwaka huo Yosefu akawa anawapa chakula kwa kubadilishana na mifugo yao yote.

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:17 katika mazingira