Mwanzo 47:18 BHN

18 Mwaka uliofuata wakamjia tena na kumwambia, “Bwana, ukweli ni kwamba fedha yetu yote imekwisha, na wanyama wetu wamekuwa mali yako. Sasa, bwana, sisi watumishi wako hatuna chochote tunachoweza kukupa isipokuwa miili yetu na mashamba yetu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:18 katika mazingira