22 Ardhi ambayo Yosefu hakuinunua ni ile iliyomilikiwa na makuhani. Hao hawakulazimika kuiuza ardhi yao kwani waliishi kwa posho maalumu waliyopewa na Farao.
Kusoma sura kamili Mwanzo 47
Mtazamo Mwanzo 47:22 katika mazingira