Mwanzo 47:23 BHN

23 Kisha Yosefu akawaambia watu, “Tazameni, nimekwisha wanunua nyinyi nyote na mashamba yenu kuwa mali ya Farao. Mtapewa mbegu nanyi mtapanda mashamba yenu.

Kusoma sura kamili Mwanzo 47

Mtazamo Mwanzo 47:23 katika mazingira